ONLINE BOOKING

Karibu kwenye blog ya MC AKLEY MWITA waweza kufanya online booking kwa kutuma 
e-mail address yako kwenda mcackleymwita84@gmail.com au mcakleymwita@yahoo.com 
MC AKLEY MWITA a.k.a MZUNGU WA KIKURYA

Ikiwa unataka kufanya Booking mapema kwa shughuli mbali mbali mwisho wa mwaka 2013 tafadhali tuma information zako zote kwenda hizo e-mail address.

kwenye e-mail address yako tuma vitu vifuatavyo:-
  • Tarehe ya kufanyika sherehe (shughuli) hiyo
  • Mahali (ukumbi) husika ambapo itafanyika sherehe
  • Chagua unachukua MC/MUSIC/VIDEO SHOOTING/MAPAMMBO
  • Unatakiwa kulipia mapema gharama zote