FRANK & MERRY'S NIGHT

TAREHE 15 JUNE 2013, IMEWEKA HISTORIA KUBWA KATI YA FRANK NA MERRY, PALE WALIPOINGIA KTK ULIMWENGU WA WAPENDENAO  KWA KUFUNGA NDOA TAKATIFU KTK KANISA LA PAROKIA YA K/NDEGE DODOMA NA KUFUATIWA NA TAFRIJA YA KUWAPONGEZA ILIYOFANYIKA KTK UKUMBI WA NEW VIJANA HALL..CHIN YA MC KIONGOZI CLASSIC MC AKLEY MWITA..
Pata matukio yaliyojili......
Baada ya kuwapokea maharusi tulifungua kwa sala ikiongozwa na Mama Mwanga.

Classic Mc Akley Mwita akielekeza utaratibu wa picha za familia.

Kupendeza kwa sherehe inahitaji chaguo zuri la rangi picha hii imebeba rangi zote 

kuna blue,njano na nyeupe 

Wakti haswa ukafika kwa Bw. Frank na Bi. Merry kukata keki.

Ukafika wakti wa kulishana keki kuna mitndo rukuki lakin hapa ulikuwa ni wa njiwa na kinda ilipendeza sana.

Frank naye akwenda tofauti akafanya vilevile kwa Merry.

Baba naye Mr Innocent Lugusi akapata wasaa wakutoa pongezi kwa vijana wake.

Pazuri pasifie asikwambie mtu, Classic Mc Akley Mwita akimng'alisha baba baada ya kumaliza nasaha.

Upande wa bi. harusi nao wakafanya yao chin ya mama mlezi.


Ufunguzi wa shampeini ndo uliofuata na kulikuwa na chupa tano za shampeini.

Classic Mc Akley Mwita akifungua yake.

Maharusi wakipata shampeini toka kwa Classic Mc Akley Mwita.

Chanda chema uvikwa pete,,,Zawadi lukuki walipewa toka kwa wazazi wao.

Kazi na dawa,,,,,Mziki ukafunguliwa na maharusi wetu.

Msumari unapoingilia ndio utokea,,,Tulifungua kwa Sala basi tukafunga Sala ya baraka toka kwa Classic Mc Akley Mwita.

Hapo mwisho, mwisho kabisaaaaaa